SET YA NOVEAGE ECOLLAGEN
1.Mistari ukicheka mdomoni,au kwenye macho AU MAKUNYANZ
2.Ngozi kukosa mvuto na kufubaa
INAFANYAJE KAZI:
Huongeza utengenezaji wa Collagen kwa 200% na kupunguza makunyazi kwa 33%...
🔻COLLAGEN NI NINI:
Hiki ni kimelea kinachokua kwenye layer ya pili ya ngozi inayofuata baada ya layer ya juu( DERMIS) na layer hii huitwa EPIDERMIS..
Kama tulivosema umri unavoenda cell za ngozi hufa hivo basi hata utengenezaji wa hii Collagen huenda kupungua..lakini kwa sababu hii pia ina stemcell hivo unapopaka huenda kuzipa tena maisha cell zinazotengeneza Collagen na hivo sasa huendelea kuzalisha hii collagen kwa wingi zaidi..
Collagen husaidia hasa kuipa ngozi ELASTICITY...yani hii ile hali ya ngozi kuweza kutanuka na.kurudi katika hali yake ya kawaida hasa pale unapocheka au kukasirika...
Hivo inapokua ikipungua ndo husababisha mtu akicheka au kununa michirizi kuendelea kujitengeneza na badae kugeuka kuwa makunyazi...
Ili uone matokeo yaliyokusudiwa lazima utumie seti hii nzima...
Comments
Post a Comment