FAHAMU HATUA NA FAIDA ZA UPAKAJI WA LIPSTICK BILA KUTOKA UTANDU MWEUPE!!




FAIDA ZA LIPSTICKS KWENYE UREMBO!!
Kuna faida nyingi sana za lipstick bali nitazizungumzia chache tu.
-Lipstick husaidia kulainisha lips...
-Lipstick husaidia kuongeza mvuto na image kua nzuri zaid  hata ukipiga picha.
-Lipstick husaidia kukueka huru,kujiamini nahata kua safi hasa pindi uongeapo.
-Lipstic hukufanya ujione kamili na maridadi mbele za watu..
-Lipstick iliyobora husaidia kuzuia kubabuka lips.

HATUA ZA UPAKAJI WA LIPSTICK!!
~Utasafisha kwanza lips zako kwa maji safi na salama kisha utajifuta kwa kitu lain.
~Utachukua lipbam/mafuta ya mgando nakisha utajipaka kuzungunga lips zako.
~Utasubiri yale mafuta kwa muda wa kama dakika 5 bila kuyafuta uku ukiendelea kufanya shughuli zako zingine, na kisha utayafuta yale mafuta kwa kutumia taulo ama tishu kwaajili ya kuzikausha lips.
~Pia utachukua powder na kuipaka kwenye lips zako kwa kutumia tena tishu/taulo uku ukizisugua lips taratibu kwaajili ya kuondoa mabaka mabaka ya ngozi kwny lips ili kuisaidia ziwe laini na zenye ukavu wa kutosha.
~ Ukishajiridhisha ndipo utachukua lipstick yako nakuanza kuipaka kwenye lips..hakikisha unapoipaka lipstick usitumie kidole wala kuzisugua lips sana.
vile vile waeza kuipaka lipstick yako kwa kuzichora lips zako kwa umaridadi zaid ili iweze kua smart na yeny kuvutia.
unaeza kupaka lipstick ya aina yoyote ile kulingana na sehemu uendako na aina ya nguo uliyoivaa..
* Kwakufuata izo hatua hapo sasa lipstick yako inaweza ikakaa kwa muda mrefu na hata ukiongea mara nyingi uwezavo hutoeza kutokwa na utandu mweupe kweny lips zako, na hakikisha pindi uendapo kulala unaitoa lipstic vizur na kuipaka lipbam kwenye lips ili kulainisha lips.

NB: Sio kila lipstick uzionazo bas zinafaa kuzitumia. hakikisha unaijal afya yako. Tumia lipstick yenye kuaminika na iliyothibitishwa na madaktar bingwa wa ngozi. Pia hakikisha unanunua lipstick kutoka kwenye kampuni inayofahamika kwaajili ya kuilinda afya yako.
karibu ORIFLAME SWEDEN ujipatie lipstick zilizobora na nzuri kwa afya yako nazeny kuilinda ngoz yako kwa bakteria wabaya.
wasiliana nami kwa namba#0658802015.
Asante!!

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog