*PURE SKIN SET*
                            🔺🔺🔺🔺🔺🔺


✅Imetengenezwa special kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta,chunusi....(angalizo;ambaye hajawahi kujichubua).

✅Inatibu chunusi...kupunguza mafuta usoni..kupunguza madoa...na wale wenye kama vitundu uson(vishimo flani hivi visible)...wale ambao ngozi iliharibika kwa chunusi mpaka kua na kama vtundu...(lazima utumie toner!!!...)

💢facewash/cleanser=facewash=cleansing gel
Hayo maneno yote ni sawa...yasikuchanganye.

Cleansing gel/facewash ni sabuni ya usoni ya maji kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta.
21,000 mteja

💢 Pure skin scrub facewash...ni 2 in one....ina cleanser pia ni scrub .ina chengachenga unazotumia kujiscrub taratibu ukiwa unaosha uso...hii anatumia mtu mwenye uso wa mafuta na madoa...Kumbuka 👉🏼mtu mwenye chunusi zile za kutumbuka hatakiwi kuscrub uso kwani zitatumbuka na kuzidisha chunus...asubiri chunus zikikauka atascrub kutoa dead skin ile ngozi ya juu iliyochoka..Hii inatumika mara moja /au mbili tu kwa wiki.
21,000 mteja

✅Sos spot gel...Hii ni cream.special.kwa ajili ya chunusi na madoa....Hii unaipaka kwenye madoa na chunusi tuuuu.Usipake uso.mzima...Paka sehem unayotaka madoa yaishe...na sehem unayotaka.chunusi ikauke.Unaipaka sehem husika tu.Inazuia chunusi.kukua...
Pia inafifisha madoa na kuyamaliza kabisa.
21,000 mteja

✅hiki kipakti kina Scrub and mask ....inatumika mara 1 kwa wiki...na unaeza itumia mara 4 hiki kipakti...scrub inasaidia kung'arisha ngozi...kutoa deadskin,kupunguza madoa...
Mask inasaidia kukaza ngozi...kufunga pores/vtundu.Inauzwa 6,000 tu mteja...

....Hii cream /lotion ya usoni. ..inapunguza mafuta usoni na kupunguza uso kung'ara ile mafta...Inapunguza kusweat usoni...na kupunguza ,kukausha chunusi.
Mteha 21,000

✅Hii set nzuri...chagua kulingana na hitaji si lazima uchukue vyote..mteja unaeza mpa facewash na mafuta tu...na hii scrub ya elf 6 ya kutumia kila weekend.
Vinawafaa sana pia vijana walio umri wa kukua/ku mature/puberty kwani ngozi zao znakua na mafuta sanaa umri huo.kuanzia miaka 15+++ unaeza kumpa...hta mpaka 30years....unaeza mpa hii set.
Pia wenye chunusi...

NB:Huruhusiwi  kuminya chunusi...husababisha madoa.....

💢Hii set inawafaa sana pia wanaume kwani wanaume wengi kiasilia.ngozi zao.usoni ni za mafuta.
👉🏽mwanaume hutunia facewash  na mafuta tu.


Comments

Popular posts from this blog