SET YA NOVEAGE BRIGHT SUBLIME
1.Ngozi kua na alama au ramani za kuungua na jua
2.makovu au madoa yaliyoachwa na chunusi
3.Ngozi kufubaa
4.na mistari kama vile unaanza kuzeeka...
5.rangi za ngozi yako haziko sawasawa
Hii ni kwa ajili ya umri wa miaka 25+ na kuendelea kwa watu wenye tatizo husika...
Imetengenezwa na:
-Multibright technology
-Gardenia plant stem cell extract
MATOKEO
-Hung'arisha ngozi kwa 40% na huondoa makovu kwa 50% baada ya wiki 12 za kutumia...
-Hupunguza mistari inayokuja kuwa makunyazi
NB:
Utaona matokeo haya Iwapo utatumia seti nzima

Comments
Post a Comment