FAHAMU SIRI YA MENO YANGU KUA MEUPE NA IMARA!!!

Naitwa Hadija kijangwa...ni senior manager toka oriflame sweden...
acha niwaibie siri moja wapo iliyokua ikinisumbua kwa muda mrefu sana tangu nikiwa na umri wa miaka Saba...

nakumbuka tangu nikiwa na miaka iyo nilikua nasumbuliwa sana MENO kuuma na hata kutoboka pia... mama'ngu alikua anajua labda nikwasababu nilikua napenda sana kula Chocolate~biscut na~.pipi toph kama mnazikumbuka wale wahenga wenzangu huhuhuh... n.k ivo ikapelekea kuuma na hata kutoboka mwishowe kung'oa meno sana.. sasa ikampelekea mama'ngu kunikataza sana kutumia vitu ivo ili kuepuka ilo tatizo... sasa chaajab nachakushangaza ilo tatizo nikaendelea nalo mpaka nilipofika miaka ya utu uzima..

mungu alivokua mkubwa sasa...nakumbuka ilipofika mwaka jana 2016 mwezi wa kwanza..ndipo nikapata fursa moja adimu sana toka kwa my lovely sis Nuru Ally ntakuja kumtanbulisha rasmi siku moja.. ye ndiye aliyeniletea fursa ya kampuni ya Oriflame Sweden.. nayo ntakuja kuizungumzia rasmi siku nyingine , sasa hii kampuni inatengeneza na kusambaza bidhaa za mwilini Asilia, bidhaa izo moja wapo ni Dawa ya meno iitwayo OPTIFRESH SYSTEM8 zipo tatu moja ni kwaajili ya watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6+ na nyingine mbili za wakubwa, kiukweli natumia zote mbili ikiisha moja naagiza nyingine.. izi bidhaa ni CRYSTAL WHITE & TOTAL PREVENTING... zinaua na kulinda vijidudu vyotee vilivyopo kwenye meno nahat kwenye Fizi, pia zina harufu nzuri sana kiukweli ukiweka tu mdomon mwenyew utagundua utofaut na dawa zingine, kila anayeniagiza lazima ataendelea kuzitumia. sasa mimi nikaanza kutumia hizi dawa, my dea!! huezi amini kipindi natumia nilikua tayar nina JINO moja la juu uku mwishoni tayr lilikua lishatoboka.. linatoa damu.. harufu..nahat kuuma pia..mwanzo nilishauriwa nikaling'oe sema nikawa naogopa koz limekaa pabaya sana. Basi nikawa natumia izi dawa, kiukweli mungu amenisaidia tangu kipindi icho meno yangu hayanisumbui tena..hakuna jino linalouuma wala kutoka damu nawala kung'oa jino mpaka leo hii .. nakula chochote kile bila was was wote ule, nampaka familia yangu yote inatumia izo products mpaka kesho...

kama naww unatatizo kama langu au wataka kujilinda usihangaike .. nitafute kwa namba #0658802015 watsap ..popote pale ntakuletea... karib sana!!!
ishi kama mimi au zaid ya mimi..Nakupenda sana!!!

Comments

Popular posts from this blog