
*PURE SKIN SET* 🔺🔺🔺🔺🔺🔺 ✅Imetengenezwa special kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta,chunusi....(angalizo;ambaye hajawahi kujichubua). ✅Inatibu chunusi...kupunguza mafuta usoni..kupunguza madoa...na wale wenye kama vitundu uson(vishimo flani hivi visible)...wale ambao ngozi iliharibika kwa chunusi mpaka kua na kama vtundu...(lazima utumie toner!!!...) 💢facewash/cleanser=facewash=cleansing gel Hayo maneno yote ni sawa...yasikuchanganye. Cleansing gel/facewash ni sabuni ya usoni ya maji kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta. 21,000 mteja 💢 Pure skin scrub facewash...ni 2 in one....ina cleanser pia ni scrub .ina chengachenga unazotumia kujiscrub taratibu ukiwa unaosha uso...hii anatumia mtu mwenye uso wa mafuta na madoa...Kumbuka 👉🏼mtu mwenye chunusi zile za kutumbuka hatakiwi kuscrub uso kwa...