Posts

Showing posts from 2017
Image
                          *PURE SKIN SET*                             🔺🔺🔺🔺🔺🔺 ✅Imetengenezwa special kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta,chunusi....(angalizo;ambaye hajawahi kujichubua). ✅Inatibu chunusi...kupunguza mafuta usoni..kupunguza madoa...na wale wenye kama vitundu uson(vishimo flani hivi visible)...wale ambao ngozi iliharibika kwa chunusi mpaka kua na kama vtundu...(lazima utumie toner!!!...) 💢facewash/cleanser=facewash=cleansing gel Hayo maneno yote ni sawa...yasikuchanganye. Cleansing gel/facewash ni sabuni ya usoni ya maji kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta. 21,000 mteja 💢 Pure skin scrub facewash...ni 2 in one....ina cleanser pia ni scrub .ina chengachenga unazotumia kujiscrub taratibu ukiwa unaosha uso...hii anatumia mtu mwenye uso wa mafuta na madoa...Kumbuka 👉🏼mtu mwenye chunusi zile za kutumbuka hatakiwi kuscrub uso kwa...
Image
SET YA NOVEAGE ULTMATE LIFT 💥Wanasema" life starts at forty " Yaani maisha yanaanza ukiwa na miaka 40... ❇Ndio utafurahia zaidi Maisha ikiwa utakuwa na afya njema ya mwili na ya ngozi yako, iongezee uimara na ulizi zaidi ngozi yako na set ya Ultimate lift Furahia Maisha ya uzee na ngozi yenye muonekano wa kijana... Age is just a number. Una miaka 40+++++ Hii ni set yako
Image
SET YA NOVEAGE ECOLLAGEN Uonapo dalili hizi jua unafaa kutumia seti hii: 1.Mistari ukicheka mdomoni,au kwenye macho AU MAKUNYANZ 2.Ngozi kukosa mvuto na kufubaa INAFANYAJE KAZI: Huongeza utengenezaji wa Collagen kwa 200% na kupunguza makunyazi kwa 33%... 🔻COLLAGEN NI NINI: Hiki ni kimelea kinachokua kwenye layer ya pili ya ngozi inayofuata baada ya layer ya juu( DERMIS) na layer hii huitwa EPIDERMIS.. Kama tulivosema umri unavoenda cell za ngozi hufa hivo basi hata utengenezaji wa hii Collagen huenda kupungua..lakini kwa sababu hii pia ina stemcell hivo unapopaka huenda kuzipa tena maisha cell zinazotengeneza Collagen na hivo sasa huendelea kuzalisha hii collagen kwa wingi zaidi.. Collagen husaidia hasa kuipa ngozi ELASTICITY...yani hii ile hali ya ngozi kuweza kutanuka na.kurudi katika hali yake ya kawaida hasa pale unapocheka au kukasirika... Hivo inapokua ikipungua ndo husababisha mtu akicheka au kununa michirizi kuendelea kujitengeneza na badae kugeuka kuwa mak...
Image
SET YA NOVEAGE BRIGHT SUBLIME Hii set inawafaa watu wenye dalili Kama zifuatazo 1.Ngozi kua na alama au ramani za kuungua na jua 2.makovu au madoa yaliyoachwa na chunusi 3.Ngozi kufubaa 4.na mistari kama vile unaanza kuzeeka... 5.rangi za ngozi yako haziko sawasawa Hii ni kwa ajili ya umri wa miaka 25+ na kuendelea kwa watu wenye tatizo husika... Imetengenezwa na: -Multibright technology -Gardenia plant stem cell extract MATOKEO -Hung'arisha ngozi kwa 40%  na huondoa makovu kwa 50% baada ya wiki 12 za kutumia... -Hupunguza mistari inayokuja kuwa makunyazi NB: Utaona matokeo haya Iwapo utatumia seti nzima
Image
THE ONE FOUNDATION.  ♦♦♦♦♦♦♦♦ 💥 FOUNDATION HII INAKUFANYA UVUTIE*... Imetengenezwa kiasilia kabisa kukupendezesha mpaka masaa 24. ✅Hii foundation ina cover madoa yote na inatumika kwa ngozi ya aina zote  ✅Unakaa nayo hadi masaa 24 huku ikilainisha Ngozi na kulinda ngozi ya usoni.  ✅Inafanya ngozi yako ing'ae na uwe na colour moja inayovutia  ✅Wakati umepaka inatulia vizuri...haisambai wala kuharib nguo hata ukimgusa mtu. ✅unaweza kupaka kwenye joto na wala isikuletee shida yoyote 💎Anza kutumia uone uzuri wake.. ✔Mteja ataipata kwa 42000/= wasiliana nami kwa #0658802015
Image
FAHAMU SIRI YA MENO YANGU KUA MEUPE NA IMARA!!! Naitwa Hadija kijangwa...ni senior manager toka oriflame sweden... acha niwaibie siri moja wapo iliyokua ikinisumbua kwa muda mrefu sana tangu nikiwa na umri wa miaka Saba... nakumbuka tangu nikiwa na miaka iyo nilikua nasumbuliwa sana MENO kuuma na hata kutoboka pia... mama'ngu alikua anajua labda nikwasababu nilikua napenda sana kula Chocolate~biscut na~.pipi toph kama mnazikumbuka wale wahenga wenzangu huhuhuh... n.k ivo ikapelekea kuuma na hata kutoboka mwishowe kung'oa meno sana.. sasa ikampelekea mama'ngu kunikataza sana kutumia vitu ivo ili kuepuka ilo tatizo... sasa chaajab nachakushangaza ilo tatizo nikaendelea nalo mpaka nilipofika miaka ya utu uzima.. mungu alivokua mkubwa sasa...nakumbuka ilipofika mwaka jana 2016 mwezi wa kwanza..ndipo nikapata fursa moja adimu sana toka kwa my lovely sis Nuru Ally ntakuja kumtanbulisha rasmi siku moja.. ye ndiye aliyeniletea fursa ya kampuni ya Oriflame Sweden.. nayo ...
Image
               *OPTIMAL FIRMING LOTION*                         💥💥💥💥💥💥💥 ♦Hii ni seti nyingine ya optimals body ambayo hutumika kwa ajili ya ku tight mahali ambapo kuna nyama za uzembe./nyama zilizotepeta. ♦Lotion hii hutumika kwa jinsia zote. ♦lotion hii hutumika kupunguza nyama za uzembe zilizotepeta mfano-    👉tumbo   👉mikono   👉 katikat ya mapaja   👉miguu n.k ♦Lotion hii hukupa matokeo kwa haraka zaidi endapo utapunguza vyakula vya mafuta na kufanya tip za mazoez kidogo (watumiaji wa tumboni)...... ✅lotion hii hupatikana kwa 21000/= mteja... 16,200 mwanachama. wasiliana nami #0658802015
Image
Seminar ya ujasiliamali toka Oriflame Sweden Dodoma!!                    Dodoma mko tayariiii???? hii siya kuikosa kabisa kwamaana ni bahati ya kipekee... njoo upate mafunzo ya ujasiliamali ili kujikwamua na umasikini, pia upate mbinu mbadala za kimaendeleo kuhus biashara yako....husikubali kupitwa wala kusimuliwa ..karib ujionee na ujifunze.....Siku ya J'mosi, tarehe 9/9/2017.Dodoma. Diamond director kutoka Oriflame Sweden atatoa mafunzo ayo... karib sana!! wasiliana nami kwa#0658802015.
Image
FAHAMU HATUA NA FAIDA ZA UPAKAJI WA LIPSTICK BILA KUTOKA UTANDU MWEUPE!! FAIDA ZA LIPSTICKS KWENYE UREMBO!! Kuna faida nyingi sana za lipstick bali nitazizungumzia chache tu. -Lipstick husaidia kulainisha lips... -Lipstick husaidia kuongeza mvuto na image kua nzuri zaid  hata ukipiga picha. -Lipstick husaidia kukueka huru,kujiamini nahata kua safi hasa pindi uongeapo. -Lipstic hukufanya ujione kamili na maridadi mbele za watu.. -Lipstick iliyobora husaidia kuzuia kubabuka lips. HATUA ZA UPAKAJI WA LIPSTICK!! ~Utasafisha kwanza lips zako kwa maji safi na salama kisha utajifuta kwa kitu lain. ~Utachukua lipbam/mafuta ya mgando nakisha utajipaka kuzungunga lips zako. ~Utasubiri yale mafuta kwa muda wa kama dakika 5 bila kuyafuta uku ukiendelea kufanya shughuli zako zingine, na kisha utayafuta yale mafuta kwa kutumia taulo ama tishu kwaajili ya kuzikausha lips. ~Pia utachukua powder na kuipaka kwenye lips zako kwa kutumia tena tishu/taulo uku ukizisugua lips ...
Image
kwanini uteseke na maisha wakati kuna njia nyingi za kupata furaha na mafanikio?? amka sasa... niwakati wako huu .... wasiliana nami kwa no.#0568802015 /
Image
tunafuraha kua pamoja.. tunafuraha kuishi pamoj... tunafuraha kusherekea pamoja.. tunafuraha kua viongoz wa kampuni yetu pendwa ORIFLAME.. tunafuraha kua recognized ndan ya kampun yet pamoja..... kama nawew unahitaj kua katika hii tim... tule..tunywe...tufurahie maisha na tupendeze pamoja... karibu sana.. wasiliana nami #0658802015 then ntakuchek private.... karibu ORIFLAME TEAM MEMBERS...
Image
Naitwa Hadija Kijangwa.. ni Senior Manager toka oriflame... je unafaham kua manager 12% wa oriflame analipwa Tsh. 400000..kwa mwez ?? manager 15% analipwa Tsh. 400,000 kwa mwezi.. manager 18% analipwa Tsh. 700,000 kwa mwez... Senior manager 21% analipwa tsh. 1,200,000+  kwa mwezi.... na director analipwa Tsh. 1,400,000 (1000$)ni cash awards tofaut na malipo ya mwez... senior gold director analipwa tsh.3,000,000 ($3000) cash awards tofaut na malipo ya mwez.. senior diamond director analipwa tsh.6,000,000 ($8000) cash awards tofaut na malipo ya mwez.... kujiunga na hii kampun ni tsh. 10000/= tu. kisha utaalika ndugu ..jamaa na marafik ili kujenga tim yako yeny msingi endelev kwa kufikia malengo yenu kwa pamoja.. maelez zaid .penda kutembelea Blogsport yangu @maryeblogsportbeautyclassic...instagram  @marye_beauty_classic....facebook a/c @marye kijangwa.....au watsap #0658802015 ili kupata taarifa zaid. karibu sana.

SUMMER SAFETY TIPS YOU NEED TO KNOW!

Image
BEAUTY SCIENCE Summer is almost upon us and we're super excited! But as temperatures rise and we spend more time outdoors, we also have to take the appropriate safety measures needed. Here are our best tips on how to stay safe all summer! MAKE IT A RITUAL  Even if the sun isn’t shining, you still need to wear sunscreen daily. That’s because up to 80% of harmful UVA and UVB rays can pass through cloud coverage. It’s UVA rays that are responsible for premature ageing signs like wrinkles and brown spots, so make sure you’re protecting exposed areas with SPF 15 and above. We recommend: NovAge Ecollagen Day Cream SPF 15  and  NovAge Ultimate Lift Day Cream SPF 15 KNOW THE FACTS ABOUT FACTOR  SPF (Sun Protection Factor) is the measurement of how effective a sunscreen is from protecting you from UVB rays that cause sunburn. It gives you an indication of how long you can spend in the sun when wearing it. A simple formula is this: if you can normally spend 10 mi...